Sunday 14 September 2014

Sports News


ANGALIA PICHAYANGA WAKIITANDIKA A AZAM GOLI 3
Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.


Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.A Yanya imeshinda 3-0.

No comments:

Post a Comment

Translate

ICC WORLD CUP 2011